RASMI, BALOZI DKT. NCHIMBI MGENI MAALUM BARAZA LA WAHITIMU CHUO KIKUU MZUMBE
Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi ambaye pia ni Mhitimu wa Chuo Kikuu Mzumbe anatarajiwa kuwa Mgeni maalumu katika mkutano wa 24 wa Baraza la Wahitimu wa Chuo Kikuu Mzumbe unaotarajiwa kufanyika Kampasi kuu Morogoro Novemba 23, mwaka huu. Akizungumza na timu ya ujumbe kutoka Chuo Kikuu Mzumbe ikiongozwa na…