Mavunde: Tulitumia saa manane kumvuta GSM Yanga

UKIACHA mapenzi yake ndani ya klabu ya Yanga kama kuna jambo ambalo lilimtambulisha kwa ukubwa Antony Mavunde ndani ya klabu hiyo basi ni ile siku ambayo aliutambulisjha umma wa wanachama na mashabiki wa klabu hiyo juu ya ujio wa mfadhili wa timu hiyo     Ghalib Said Mohammed ‘GSM’. Mavunde alimtambulisha tajiri huyo mbele ya uma…

Read More

Lomalisa atoa masharti Simba | Mwanaspoti

WAKATI tetesi za usajili zikimhusisha beki wa Yanga, Joyce Lomalisa kujiunga na Simba mwenyewe kaibuka na kuweka wazi kuwa yupo tayari kucheza timu yoyote Tanzania Bara lakini kwa masharti. Lomalisa ambaye ni raia wa DR Congo aliyesalia kwenye kikosi cha Yanga, anamaliza mkataba wake na mwishoni mwa msimu huu baada ya kuitumikia kwa misimu miwili…

Read More

Idadi wagonjwa wa macho KCMC tishio

Moshi. Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Kaskazini (KCMC) inapokea  watu 40,000 wenye matatizo ya macho kwa mwaka ambapo miongoni mwa wanaobainika kuwa na tatizzo la ukungu kwenye lenzi ya jicho (cataract), ni wenye umri mkubwa. Hayo yamesemwa leo Mei Mosi, 2024 na Daktari bingwa wa macho, hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Kaskazini (KCMC), Dk…

Read More