BOTI YA MV BULOMBORA YAZINDULIWA BAADA YA MIAKA 20,YAKARABATIWA NA KIKOSI CHA 821 KJ YAWA YA KISASA
MUONEKANO wa Boti ya MV Bulombora iliyozinduliwa na Mwenyekiti wa Kamati ya Kimkakati ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi ya Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) Brigedia Jenerali Hassan Mabena, baada ya kufanyiwa matengenezo makubwa na kikosi cha 821 KJ Bulombora hafla iliyofanyika katika bandari ya Kigoma Mjini. Na Alex Sonna-KIGOMA MWENYEKITI wa Kamati ya Kimkakati…