PROF.MWEGOHA ATAJA VIPAUMBELE KATIKA UONGOZI WAKE,WATUMISHI WAPONGEZA KASI YA UTEKELEZAJI
Ikiwa ni mwendelezo wa ziara za kutembelea Kampasi zote tangu kuthibitishwa katika nafasi yake, Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu Mzumbe Prof. William Mwegoha April 29 akiwa ameambatana na baadhi ya Wajumbe wa timu ya Menenjimenti, amekutana na Wafanyakazi wa chuo hicho katika Ndaki ya Dar es Salaam kwa lengo la kujadiliana masuala ya maendeleo ya…