Jaji mstaafu, mawakili walinyooshea kidole Jeshi la Polisi

Dar es Salaam. Siku chache baada ya Jaji mstaafu wa Mahakama Kuu ya Tanzania, Robert Makaramba kukosoa kitendo cha askari wa Jeshi la Polisi kumshambulia wakili Deogratius Mahinyila katika Mahakama Kuu ya Tanzania, mawakili wameeleza kwamba kitendo hicho ni kuingilia uhuru wa Mahakama. Katika tukio hilo la Septemba 15, 2025 wakati kesi ya Mwenyekiti wa…

Read More

TANZANIA, IFRC WAJADILI KUIMARISHA USHIRIKIANO KATIKA MASUALA YA KIBINADAMU AFRIKA MASHARIKI

 Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki anayeshughulikia masuala ya Afrika Mashariki, Mhe. Denis Londo (Mb) amelishukuru Shirikisho la Kimataifa la Vyama vya Msalaba Mwekundu na Hilali Nyekundu (IFRC) kwa mchango wake mkubwa katika kusaidia jamii za Kitanzania, hasa wakati wa majanga na dharura, na akasisitiza umuhimu wa kushirikiana kwa karibu…

Read More

Nahodha Geita Gold awashtua wenzake

NAHODHA Msaidizi wa Geita Gold, Saidy Mbatty amewataka wachezaji wenzake kuendelea kucheza kwa ushirikiano mkubwa hadi mwisho wa msimu, kwani kwa kufanya hivyo itakuwa ni njia nzuri ya kufanikisha malengo ya kuirejesha timu hiyo Ligi Kuu. Nyota huyo aliyejiunga na kikosi hicho msimu huu akitokea Fountain Gate, amesema mwenendo wa timu ni mzuri, ingawa wanahitaji…

Read More

Jeshi la Polisi Zanzibar Latoa Hakikisho la Ulinzi kwa Wanawake, Vijana na Watu Wenye Ulemavu Katika Uchaguzi 2025

Nihifadhi Abdulla JESHI LA POLISI ZANZIBAR limezitoa hofu Asasi za Kiraia zinazoendelea kusimamia haki za Wanawake, Vijana na Watu wenye Ulemavu ZNZ ambapo limesema litaendelea kuhakikishia Haki, Ulinzi na Usalama kwa makundi hayo katika kipindi cha Uchaguzi Mkuu Mwaka huu 2025 zinalindwa kikamilifu. Kauli hiyo imetolewa na Kamishna wa Jeshi la Polisi Zanzibar, Khamis Kombo…

Read More

Safari ya 50/50 inabana, inaachia

Dar es Salaam. Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu, utakuwa na uwakilishi wa wanawake 558, walioteuliwa na Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), kugombea ubunge wa majimbo, kupitia vyama vya siasa 18. Idadi hiyo ni sawa na asilimia 32.17 ya wagombea wote 1,735 wa ubunge wa majimbo walioteuliwa na INEC. Kwa maneno mengine, katika kila…

Read More

Mwimbaji wa nyimbo za Injili kutoka Rwanda, Israel Mboni, atua Tanzania kwa huduma ya Uimbaji

Na Mwandishi Wetu, Mtanzania Digital Mwimbaji wa nyimbo za Injili kutoka Rwanda, Israel Mboni, anayefahamika kwa wimbo wake maarufu Nina Siri, amewasili nchini Tanzania kwa ajili ya kutoa huduma katika matamasha ya uimbaji yanayotarajiwa kufanyika mwanzoni mwa Novemba. Matamasha hayo yamepangwa kufanyika Novemba , 2024 katika Ukumbi wa Mlimani City na Novemba 3 katika Viwanja…

Read More

Jica yaahidi kuendeleza ushirikiano na Serikali ya Tanzania

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema kuwa Shirika la Kimataifa la Maendeleo la Japan (Jica) limeihakikishia Serikali ya Tanzania inayoongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan kuwa litaendelea kushirikiana nayo katika utekelezaji wa miradi mbalimbali ya maendeleo ya wananchi. Hatua hiyo imetokana na namna ambavyo Serikali imekuwa ikisimamia kikamilifu matumizi ya fedha mbalimbali zinazotolewa na wadau wa…

Read More