BRIGEDIA JENERALI MABENA AZINDUA BOTI YA JKT MV BULOMBORA MKOANI KIGOMA
MWENYEKITI wa Kamati ya Kimkakati ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi ya Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) Brigedia Jenerali Hassan Mabena,akikata utepe kuashiria uzinduzi wa boti ya MV Bulombora iliyofanyiwa matengenezo makubwa na kikosi cha 821 KJ Bulombora hafla iliyofanyika katika bandari ya Kigoma Mjini. Na Alex Sonna-KIGOMA MWENYEKITI wa Kamati ya Kimkakati ya Kilimo, Mifugo na…