Unatunzaje kitovu cha mtoto anapozaliwa?

Kitovu cha mtoto mchanga baada ya kuzaliwa ni sehemu nyeti inayohitaji uangalizi wa karibu, ili kuhakikisha mtoto anakua salama bila kupata maambukizi.  Baada ya kuzaliwa na kutenganishwa na kondo la nyuma la mama, kitovu hubaki kikiwa kimefungwa kwa kitambaa maalum au kipande cha plastiki na huchukua siku kadhaa kabla ya kukauka na kuanguka. Mkuu wa…

Read More

Friji la mkaa kuwakomboa wakulima nchini

Dar es Salaam. Ukitazama mwonekano wake unaweza kudhani ni nyumba lakini ni jokofu la mkaa (friji) maalumu kwa kuhifadhi mazao yanayoharibika mapema. Ni friji lililotengenezwa kwa kutumia mkaa na maalumu kwa ajili ya kutunza mazao yanayoharika haraka yanapotolewa shambani ili kuwaepusha wakulima wasipate hasara baada ya mavuno. Friji hilo hutumika katika kuhifadhi mazao ya mbogamboga…

Read More

Nahodha Mashujaa kaahidi jambo | Mwanaspoti

NAHODHA wa Mashujaa FC, Baraka Mtuwi amesema wapo tayari kuikabili Singida Black Stars aliyoitaja kuwa haitakuwa rahisi kutokana na uwepo wa nyota wengi bora.Mashujaa inatarajia kushuka dimbani Jumanne ya wiki ijayo, kwenye Uwanja wa KMC kucheza mechi ya tatu ya Ligi Kuu Bara msimu huu, baada ya kushinda mechi moja na kutoka sare moja.Akizungumza na…

Read More

Mtanda azikataa Simba, Yanga ndani ya Pamba

Mwanza. Mkuu wa Mkoa wa Mwanza na mlezi wa timu ya Pamba Jiji, Said Mtanda amesema hatamvumilia mtu yeyote atakayeingiza U-Simba na U-Yanga ndani ya timu hiyo itakapokuwa inacheza mechi zake za Ligi Kuu Bara msimu ujao. Mtanda ametoa kauli hiyo leo Aprili 30, 2024 kwenye Uwanja wa Nyamagana jijini hapa wakati akizungumza na maelfu…

Read More

Elimu itolewe kuhusu sheria, kanuni soka la Wanawake

Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) kwa kushirikiana na taasisi zingine limetakiwa kutoa elimu kwa wadau kuhusu haki za wachezaji wa kike wakati wa ujauzito na baada ya kujifungua. Sheria ya Shirikisho la Soka la Kimataifa (FIFA) linatoa haki hizo lakini uchunguzi uliofanywa na Mwanaspoti umebaini haifahamiki kwa wachezaji wengi, makocha na hata uongozi wa vilabu….

Read More

Miloud: Tupo siriazi, tunataka ushindi

Kocha wa Yanga, Hamdi Miloud amesema kesho timu yake ipo tayari kwa mechi hiyo kubwa na kwamba wako siriazi ili kushinda mchezo huo. Akizungumza na waandishi wa habari kwenye mkutano wa kabla ya mechi, Miloud amesema timu yake baada ya kuahirishwa mara mbili kwa mchezo huo haikutoka mchezoni kwani waliendelea na maandalizi. Mchezo huo wa…

Read More

Hili ndilo Baraza Kivuli la ACT-Wazalendo Zanzibar

Unguja. Chama cha ACT-Wazalendo kimetangaza baraza la wasemaji wa kisekta Zanzibar likiwa na jukumu la kufuatilia utendaji wa Serikali kisera, uchumi na ustawi wa jamii. Majukumu mengine ni kuona jinsi gani sera, sheria, maamuzi na usimamizi wa shughuli za Serikali unaathiri maendeleo na mustakabali wa nchi wa usalama wa raia, utengamano wa kijamii, haki, amani…

Read More