MAKAMU WA PILI WA RAIS ZANZIBAR AFANYA ZIARA KATIKA HOSPITAL YA WILAYA NA MNAZI MMOJA
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Hemed Suleiman Abdulla akipokea maelezo kutoka kwa mfanyakazi wa Hospital ya Wilaya wa Magharini “B” Mwanakwerekwe Ijitimai wakati alipofanya ziara ya kutetembelea na kukagua utowaji wa huduma katika hospitali hio. Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Hemed Suleiman Abdulla akisalimiana na wagonjwa waliolazwa katika wodi ya mifupa…