
TPA YACHUKUA HATUA MBALIMBALI UBORESHAJI MIUNDOMBINU,KUONGEZA UFANISI BANDARINI.
Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania ( TPA) imechukua hatua mbalimbali ikiwemo uboreshaji wa Miundombinu, kusimika mifumo bora ya TEHAMA na kushirikisha Wadau wa Sekta Binafsi wakiwemo waendeshaji wa Bandari, ili kuongeza ufanisi katika kuhudumia Shehena za ndani na nje ya nchi kupitia katika bandari za Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania. Akizungumza kwa niaba…