KONA YA MALOTO: Samia ni Rais wa sita, si wa Awamu ya Sita
Kuna mazoea ya kimatamshi na kimaandishi, kutambua marais kwa mtindo wa awamu. Mathalan, inatamkwa kwamba Dk Samia Suluhu Hassan, ni Rais wa Awamu ya Sita, Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Dk John Magufuli ni Rais wa Awamu ya Tano. Vivyo hivyo, Dk Jakaya Kikwete, Awamu ya Nne, ya tatu ni Benjamin Mkapa, kisha ya pili…