Taharuki yaibuka Hanang mafuriko mengine yakitokea
Hanang. Wakazi wa Kijiji cha Gocho kilichopo Wilaya ya Hanang mkoani Manyara, wamekumbwa na taharuki baada ya Mlima Hanang kumeguka na kusababisha mafuriko na kuharibu mazao na makazi ya watu. Wakizungumza na waandishi wa habari leo Aprili 30, 2024, wamesema tukio hilo limetokea jana Aprili 29, 2024 usiku kwenye kijiji hicho. Mmoja wa wakazi wa…