Suluhisho zinazoungwa mkono na Sayansi Kuongeza Usalama wa Maji katika Afrika Mashariki-Maswala ya Ulimwenguni

Panellists kutoka Taasisi ya Usimamizi wa Maji ya Kimataifa (IWMI) wakati wa uzinduzi wa Mkakati wa IWMI 2024-2030 huko Afrika Mashariki. Mikopo: Busani Bafana/IPS na Busani Bafana (Nairobi) Jumatano, Aprili 9, 2025 Huduma ya waandishi wa habari NAIROBI, Aprili 9 (IPS) – Katika Afrika Mashariki, mabadiliko ya hali ya hewa yamefanya maji kuwa njia ya…

Read More

WAZIRI MCHENGERWA AFUNGA ZOEZI LA UANDIKISHAJI DAFTARI LA MPIGA MPIGA KURA

  Waziri wa nchi Ofisi ya Rais Tawala  za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI ) Mohammed  Mchengerwa leo 20,Oktoba 2024  amefunga zoezi la kujiandikisha kupiga kura na kutoa taarifa ya siku tisa ya waliojitokeza kujiandikisha nchini ambapo watanzania zaidi ya Mil. 26,769,995 wamejiandikisha sawa na asilimia 81.15  ya Watanzania wamejiandikisha. Mhe. Mchengerwa amejiandikisha katika…

Read More

Kwa nini Chakula na Kilimo kinapaswa kuwa katikati ya Ajenda ya COP30 – Maswala ya Ulimwenguni

Mkulima mdogo wa Zimbabwe Agnes Moyo. Mikopo: Busani Bafana/IPS na Busani Bafana (Bulawayo, Zimbabwe) Jumanne, Novemba 18, 2025 Huduma ya waandishi wa habari Agroecology inaimarisha uhuru wa chakula kwa kuhamasisha uzalishaji wa ndani na matumizi. –Elizabeth Mpofu, mkulima wa Zimbabwe BULAWAYO, Zimbabwe, Novemba 18 (IPS) – Wakati COP30 ilipoingia wiki yake ya pili huko Brazil,…

Read More

RUWASA YATAMBULISHA MRADI WA MAJI WA WANANCHI NYASA

Na Mwandishi Wetu, Nyasa WAKALA wa Maji na Usafi wa Mazingira Vijijini (RUWASA) Wilaya ya Nyasa Mkoani Ruvuma, umetambulisha kwa Wananchi mradi wa maji wenye thamani ya zaidi ya Tsh Milioni 962.7 unaokwenda kutekelezwa katika vijiji viwili vya Lumeme na Mbanga ili kutatua kero ya upatikanaji wa huduma ya maji safi na Salama katika Vijiji…

Read More

Kadi nyekundu za Chalamanda kuna kitu

UNAWEZA kudhani kama masihara, lakini ukweli ni kwamba kadi nyekundu aliyoonyeshwa Ramadhan Chalamanda wa JKT Tanzania dhidi ya Mbeya City, inafanana na ile aliyowahi kuonyeshwa dhidi ya timu hiyo misimu miwili iliyopita. Chalamanda ambaye ameingia JKT Tanzania msimu huu akitokea Kagera Sugar, alionyeshwa kadi hiyo dakika ya 17 katika mechi ya Ligi Kuu Bara iliyochezwa…

Read More

Mnyika ataka utamaduni wa Chadema ulindwe

Shinyanga. Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendelea (Chadema), John Mnyika amewataka wananchi wa Shinyanga kulinda haki na utamaduni wa Chadema wa kutetea haki badala ya kukimbilia ubunge. Mnyika ametoa kauli hiyo wakati kukiwa na vuguvugu la wanachama wa Chadema wanaojivua uachama wao kwa madai ya kutokubaliana na kaulimbiu ya chama hicho ya No…

Read More