Miili ya wanafamilia wanne waliokufa kwa mafuriko yaagwa Moshi
Moshi. Miili ya watu watano, minne ikiwa ya familia moja waliofariki dunia baada ya nyumba yao kuangukiwa na kifusi imeagwa mjini Moshi. Kutokana na mvua zilizonyesha usiku wa kuamkia Aprili 25, 2024 nyumba yao iliangukiwa na kifusi. Miili hiyo imeagwa leo Aprili 30, 2024 katika viwanja vya KDC, vilivyopo katika Halmashauri ya Wilaya ya Moshi,…