Bashe azindua Bodi ya Mkonge, yaahidi kufanya kazi kwa weledi
Na Ramadhan Hassan,Dodoma WAZIRI wa Kilimo,Hussein Bashe amezindua Bodi ya Mkonge Tanzania huku akiitaka kufanya kazi kwa bidii na kuwasaidia wakulima wa zao hilo. Akizungumza wakati wa uzinduzi huo Jumatatu Aprili 29,2024 jijini hapa,Waziri Bashe ameipongeza bodi mpya kwa kuaminiwa na Rais Samia Suluhu Hassan huku akiitaka kufanya kazi kwa ushirikiano kwani atawapima kwa malipo…