Dola bilioni 1 kuwezesha uzalishaji wa chanjo Afrika – DW – 20.06.2024
Katika mkutano huo, kumetangaza ufadhili wa dola bilioni 1.2 zitakazowezesha kuzalisha chanjo huko Afrika, bara ambalo linakabiliwa na matatizo mengi ya kiafya ikiwa ni pamoja na kuongezeka kwa magonjwa ya milipuko kama kipindupindu. Mbali na viongozi wa Magharibi, mkutano huo umehudhuriwa pia na viongozi kutoka nchi kadhaa za Kiafrika kama Botswana, Rwanda, Senegal, Ghana, Mataifa…