TMA yapongezwa kuimarisha ubora na usahihi wa taarifa za Hali ya Hewa
WAFANYAKAZI wa Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA), wamekutana kupitia kikao cha Baraza la Wafanyakazi wa TMA kilichofanyika katika ukumbi wa NSSF, Morogoro leo tarehe 30 Aprili, 2024, kwa lengo la kufanya tathmini ya utendaji kazi wa Mamlaka kwa kuzingatia maazimio ya Baraza lililopita pamoja na kupitia bajeti ya mwaka 2024/2025. Anaripoti Mwandishi…