Mbeya Unity sio kinyonge! | Mwanaspoti

WAKATI Ligi Kuu ya Netiboli nchini ikitarajiwa kuanza Agosti 1 huko jijini Arusha, Mbeya Unity Queens imesema hawataenda kinyonge katika mashindano hayo, bali kupambania heshima ya Mkoa wa Mbeya kubeba ubingwa, huku ikilia na ukata. Mbeya Unity ndio msimu wake wa kwanza kushiriki ligi hiyo baada ya kupanda daraja mwaka huu na kuungana na ndugu…

Read More

SERIKALI YATOA SHUKRANI KWA MABALOZI WA NCHI ZA AFRIKA KWA MSAADA WA VIFAA KWA SHULE ZA WATOTO WENYE MAHITAJI MAALUM DAR ES SALAAM*

Serikali imetoa shukrani za dhati kwa kundi la Mabalozi la nchi za Afrika nchini kufuatia uamuzi wa kundi hilo kutoa msaada wa vifaa mbalimbali vyenye thamani ya Shilingi milioni thelathini na nane kwa shule tatu za Sekondari ya Jangwani, Sekondari ya Pugu na Shule ya Msingi ya Jeshi la Wokovu ambazo zina watoto wenye mahitaji…

Read More