Mechi tisa za Mgunda kutembeza boli hizi hapa

JUMA Mgunda na Seleman Matola wanaanza kibarua chao ndani ya Simba Jioni hii. Lakini ana mechi tisa mkononi ambazo atalazimika kutembeza boli kwa namna yoyote ile kutetea hadhi ya Simba kwenye Ligi Kuu Bara. Matokeo ya mechi hizo ndiyo yaliyobeba hatma ya Simba msimu ujao kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika kwani ili washiriki lazima wabaki…

Read More

Serikali kujenga nyumba 562 za walimu

Dodoma. Serikali imesema mwaka wa fedha 2024/25, itajenga jumla ya nyumba za walimu 562 zinazotosha familia 1,124. Hayo yamesemwa leo Jumanne Aprili 30, 2024 na Naibu Waziri wa Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Zainabu Katimba wakati akijibu swali la Mbunge wa viti maalumu Jacqueline Andrew. Andrew amehoji mpango wa Serikali katika kujenga…

Read More

Mabao yatawabakisha Ligi Kuu | Mwanaspoti

MSIMU wa Ligi Kuu 2023/2024 unakaribia ukingoni na timu pamoja na wachezaji wanakaribia kuvuna kile walichokipanda ambacho ni ama kumaliza vizuri au kumaliza vibaya pindi mizunguko 30 ya ligi itakapokamilika. Timu mbili ambazo zitamaliza zikiwa mkiani mwa msimamo wa ligi zitashuka daraja moja kwa moja na mbili zitakazomaliza nafasi ya 13 na 14 zitacheza mechi…

Read More

Marekani yakhofia mauaji ya kimbari Darfur – DW – 30.04.2024

Marekani imezitaka nchi zote zinazopeleka silaha kwa pande mbili zinazopambana katika vita nchini Sudan kusitisha hatua hiyo.Marekani imeonya kwamba historia inajirudia katika jimbo la Darfur,Magharibi mwa Sudan ambako yaliwahi kushuhudiwa mauaji ya halaiki miaka 20 iliyopita.  Kikao cha dharura cha baraza la usalama la Umoja wa Mataifa kuhusu Sudan kilikuwa cha faragha na balozi wa…

Read More

Kahawa kuuzwa kwa ‘bajaji’ kukuza soko

Dodoma. Katika kuongeza masoko ya kahawa inayozalishwa nchini, Serikali imebuni na kutengeneza migahawa inayotembea kwa kutumia pikipiki za miguu mitatu kwa ajili ya kuuza kahawa katika maeneo mbalimbali ya umma na kwenye mikusanyiko ya watu. Naibu Waziri wa Kilimo, David Silinde amesema leo Jumanne Aprili 30, 2024 wakati wa kujibu swali la msingi la Mbunge…

Read More

MIILI MITANO ILIYOSOMBWA NA MAFURIKO MOSHI YAAGWA.

NA WILLIUM PAUL, MOSHI.  MIILI mitano kati ya saba iliyosombwa na mafuriko kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha maeneo mbalimbali katika kata ya Kimochi na Mbokomu wilaya ya Moshi imeagwa leo katika viwanja vya KDC. Mafuriko hayo yaliyotokea usiku wa kuamkia Aprili 25 mwaka huu ambapo katika miili hiyo marehemu wanne ni wa familia moja akiwamo…

Read More

Serikali kuunda timu tatu kuelekea Afcon 2027

Dodoma. Serikali ina mpango wa kuunda timu tatu imara za soka za Taifa kulingana na umri ambazo zitashiriki mashindano ya Afcon 2027 na mengine ambayo nchi itashiriki. Naibu Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Hamis Mwinjuma amesema hayo leo Jumatatu Aprili 30, 2024 alipojibu maswali ya nyongeza ya Mbunge wa Jimbo la Magomeni, Mwanakhamis Kassim…

Read More