Gibril Sillah anavyomtumia Pacome wa Yanga!
WINGA wa Azam FC, Gibril Sillah, amebainisha kwamba amekuwa akimtumia kiungo wa Yanga, Pacome Zouzoua kama sehemu ya kuimarisha kiwango kutokana na kufurahishwa na namna anavyocheza mwenzake. Kati ya vitu anavyovipenda Sillah kwa Pacome ni pale anapokuwa na mpira mguuni huwa hamuachii nafasi mpinzani kumnyang’anya, badala yake anatumia akili na nguvu kuufikisha sehemu sahihi. “Pacome…