Jamii yaombwa kusaidia matibabu watoto wenye mtindio wa ubongo
Dar es Salaam. Wananchi, mashirika ya umma na binafsi wameombwa kuchangia kampeni kuwasaidia watoto wenye mtindio wa ubongo walio chini ya uangalizi wa Hospitali ya CCBRT. Hatua hiyo inaelezwa itasaidia kuleta mabadiliko kwa watoto chini ya miaka mitano wenye mtindio wa ubongo. Imeelezwa kuna changamoto ya vifaatiba kwa ajili ya matibabu ya watoto hao hospitalini…