Kupima udhibiti wa mtandao ukitumia zana za OONI
Takribani kila nchi ulimwenguni inakumbana na baadhi ya visa vya udhibiti wa mtandao kinachotofautisha nchi dhidi ya nchi nyingine ni tovuti na viunzi gani vimefungwa, na athari ya kufungwa huko. Wakati wa kura na maandamano ulimwenguni, serikali kila mara uagiza kufungwa kwa mitandao ya kijamii inayotumika sana kama vile WhatsApp,X na Facebook . Katika nchi…