Samatta sasa anukia Cyprus | Mwanaspoti

MABOSI wa Omonia Nicosia ya Cyprus wameripotiwa kuvalia njuga dili la kumnasa nahodha wa timu ya taifav ya Tanzania, Taifa Stars, Mbwana Samatta ambaye kwa sasa anaonekana kutokuwa katika mipango ya kocha wa PAOK ya Ugiriki, Razvan Lucescu. Samatta bado ana mkataba wa kuichezea miamba hiyo ya soka la Ugiriki hadi Juni 30, 2025, awali…

Read More

Watendaji wa Uchaguzi wakumbushwa kushirikiana na Wanahabari.

Mjumbe wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe.Magdalena Rwebangira amewakumbusha watendaji wa Uchaguzi ngazi ya Mkoa na Jimbo kushirikiana na Wanahabari ili wananchi waweze kufahamu mambo mbalimbali yahusuyo Uchaguzi. Wito huo ameutoa leo alipokuwa akifunga mafunzo ya siku tatu kwa watendaji wa Uchaguzi ngazi ya Mkoa na Jimbo yaliyofanyika kwa siku tatu katika Kituo…

Read More

Mchechu achangisha Sh.117.8 Million ujenzi wa kanisa

Nehemiah Mchechu, Msajili wa Hazina na kiongozi anayejulikana kwa mchango wake mkubwa katika sekta ya nyumba, benki, na biashara, ameendesha harambe iliyowezesha kuchangisha Sh117.8 milioni kwaajili ya kuendeleza ujenzi wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Usharika wa Naibili, Siha, Kilimanjaro. Kati ya fedha hizo kwaajili ya jengo hilo mpya la ibada ambalo ujenzi…

Read More

DC KONGWA: MAHINDI NA KARANGA MWOKOZI KWA WATOTO WADOGO KONGWA

  MKUU wa Wilaya ya Kongwa Mayeka Simon,akizungumza  wakati wa hafla ya kufungua kikao cha mrejesho wa matokeo ya utafiti na mafunzo ya kupunguza sumukuvu katika mazao baada ya kuvuna kilichofanyika wilayani humo. MAKAMU  Mkuu wa Taasisi ya Afrika ya Sayansi na Teknolojia ya Nelson Mandela,Arusha Prof.Maulilio Kipanyula,akizungumza  wakati wa hafla ya kufungua kikao cha…

Read More

Sarafu mtandao bado ni pasua kichwa kwa mifumo ya kibenki

Benki Kuu mbalimbali duniani zimekuwa katika hatua za kutafuta suluhu na mbadala kuhusu matumizi ya sarafu mtandao (Cryptocurrency) katika uchumi. Hali kadhalika kwa Benki Kuu ya Tanzania BOT ambayo pia imekua katika hatua mbalimbali za kutafiti undani wa kadhia hiyo mpya katika mfumo wa fedha ambayo bado ni jambo linalotatiza katika nchi mbalimbali duniani. Sarafu…

Read More

PAMBA HAI ISIYOTUMIA MBOLEA ZA KEMIKALI YAFIKA TAN 12,285

:::::::::: Na Ester Maile  Uzalishaji wa Pamba hai katika  Mkoa wa Simiyu umeongezeka kutoka Tani 10,300 mwaka 2021/2022 hadi Tani 12,285 mwaka 2022/2023, jambo lililopelekea Tanzania kuingia katika ramani ya uzalishaji duniani.  ameyasema hayo hii leo Julai 18, 2025 Jijini Dodoma, Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Anamringi Macha wakati akizungumza na Watanzania kupitia mkutano na…

Read More

INEC YAWANOA Ma-OCD KUHUSU SHERIA ZA UCHAGUZI

Na Mwandishi wetu, Kilimanjaro Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) katika kuhakikisha inatoa Elimu ya Mpiga Kura kwa makundi mbalimbali katika jamii, leo Novemba 07, 2024 imetoa elimu hiyo kwa Wakuu wa Polisi wa Wilaya (OCD) nchini katika mafunzo yaliyofanyika katika Shule ya Polisi Moshi, Mkoani Kilimanjaro.   Akizungumza mara baada ya mafunzo hayo…

Read More