ELIMU KUTUMIKA KUZUIA VITENDO VYA RUSHWA,USIMAMIZI MATUMIZI YA FEDHA ZA MIRADI YA MAENDELEO
NA BALTAZAR MASHAKA, MWANZA TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU),Mkoa wa Mwanza,katika kuzuia vitendo vya rushwa kwenye miradi ya maendeleo,mkakati uliopo ni kutoa elimu kwa wananchi kusimamia matumizi ya sahihi ya fedha zinazotolewa na serikali kutekeleza miradi hiyo. Pia,katika kipindi cha robo ya nne ya mwaka 2023/24, itaendelea kutekeleza majukumu yake ya kuchunguza…