NAIBU KATIBU MKUU UVCCM AWATAKA VIJANA WA CCM CHATO KUSINI KUTOBWETEKA
Mgombea Ubunge wa Jimbo la Chato Kusini,Paschal Lutandula,akizungumza na wana CCM. Naibu Katibu mkuu wa UVCCM Tanzania Bara,Mussa Mwakitinya akizungumza na wajumbe wa CCM Jimbo la Chato Kusini. ……………. CHATO ZIKIWA zimesalia siku 10 kufanyika Uchaguzi mkuu wa Rais,Wabunge na Madiwani nchini, Naibu Katibu mkuu wa Jumuia ya Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Tanzania…