PATA HABARI MOTO MOTO KATIKA MAGAZETI YA LEO APRILI 30,2024
Home » PATA HABARI MOTO MOTO KATIKA MAGAZETI YA LEO APRILI 30,2024 About the author
Home » PATA HABARI MOTO MOTO KATIKA MAGAZETI YA LEO APRILI 30,2024 About the author
Dodoma. Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk Doto Biteko amesema atamwomba Waziri Mkuu Kassim Majaliwa na viongozi wakuu wa Serikali wazisihi wizara na taasisi za umma kuanza kulipia madeni ya matangazo wanayodaiwa na vyombo vya habari. Dk Biteko amesema hayo wakati akifungua Mkutano Mkuu wa kitaaluma wa 13 wa mwaka wa Jukwaa la…
Dodoma. Wakati Bunge limepitisha bajeti ya Wizara ya Katiba na Sheria, Serikali imesema suala la kukazia hukumu na adhabu ya kifo ni vitu ambavyo vinafanyiwa kazi, na mabadiliko ya baadhi ya sheria yameanza kuonekana. Pia, imesema Sheria ya Ndoa ya mwaka 1971 imeendelea kufanyiwa kazi kwa kukusanywa maoni na itakapokamilika itawasilishwa bungeni. Hayo yamesemwa leo Jumatatu…
Dodoma. Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Kilimanjaro, Shally Raymond amesisitiza pendekezo la muda mrefu la baadhi ya wabunge la kuhasiwa wanaume wanaopatikana na hatia ya ubakaji ama ulawiti kwa watoto. Mbunge Shally Raymond amesema hayo leo Jumatatu ya Aprili 29, 2024 wakati akichangia mjadala bungeni wa taarifa ya mpango na makadirio ya mapato na…
MITAA iliitika mitaa ikaukubali mziki wa Magwiji wa Odds kubwa, Nyumba ya Mabingwa wa michezo ya ubashiri na kasino ya mtandaoni, ufalme wa washindi Meridianbet pale walipopita mitaa mbalimbali ya Jiji la Dar Es Salaam na kuwashika mkono wapambanaji wote. Watu wengi walijitokeza kuona ni nini Meridianbet wamewaletea na hapo ndipo tabasamu lilipofunguka mithili ya…
Dar es Salaam. Upelelezi katika kesi ya uhujumu uchumi inayomkabili aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) Madeni Kipande (66) na wenzake watano, bado unaendelea.Wakili wa Serikali, Monica Ndekidemi ameieleza Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, leo Aprili 29, 2024, wakati kesi hiyo ilipoitwa kwa ajili ya kutajwa.Kipande na wenzake wakikabiliwa na mashtaka matatu…
Mkurugenzi Mkuu wa Tume ya Nguvu za Atomu Tanzania (TAEC) Profesa Lazaro Busagala akizungumza na waandishi na Wahariri kwenye Mkutano unaoratibiwa na Ofisi ya Msajili wa Hazina jijini Dar es Salaam. Afisa Habari Mwandamizi wa Ofisi ya Msajili wa Hazina Sabato Kosuri akizungumza kuhusiana uratibu wa mikutano hiyo kwa Taasisi zilizo chini ya Msajili wa…
Ferdinand Shayo ,Manyara . Mamia ya Wafanyakazi wa Kampuni ya kuzalisha vinywaji changamshi ya Mati Super Brands Limited wameshiriki maadhimisho ya siku ya Wafanyakazi ya Mei Mosi yaliyofanyika kimkoa Katika Viwanja vya Tanzanite Kwaraa Wilayani Babati Mkoani Manyara na kupambwa na msafara mrefu wa magari ya kusambaza vinywaji kutoka kwenye kampuni hiyo. Mkurugenzi…
Na Nora Damian, Mtanzania Digital Waziri wa Ujenzi, Inocent Bashungwa amesema baada ya mvua kuisha wataanza kujenga barabara na madaraja ya kudumu katika maeneo yaliyoathiriwa. Akizungumza leo Aprili 29,2024 baada ya kufanya ziara kukagua miundombinu iliyoharibiwa na mvua katika Wilaya ya Kigamboni amesema kwa sasa wanarudisha mawasiliano ili barabara ziendelee kupitika wakati wakisubiri kupungua kwa…
Dar es Salaam. Katibu Mkuu wa zamani wa Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi (Tucta), Nicolaus Mgaya amesema bado wafanyakazi wana safari ndefu ya kupata nyongeza ya kikokotoo, akitaja sababu ni Serikali kushindwa kuiwezesha mifuko ya hifadhi ya jamii kuwa na ukwasi wa kutosha. Mgaya pia amekosoa utendaji wa Tucta akisema imeshindwa kuibana Serikali katika kudai…