Jaji Werema kuzikwa Januari 4 Butiama
Dar es Salaam. Aliyekuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Jaji Frederick Werema anatarajiwa kuzikwa Jumamosi Januari 4, 2025 Butiama mkoani Mara. Ratiba rasmi ya mazishi iliyotolewa na familia yake ambayo Mwananchi imeiona imeeleza kuwa, Januari 1, 2025 ibada ya kumuombea marehemu itafanyika katika Kanisa la Mtakatifu Martha, Mikocheni jijini Dar es Salaam kuanzia saa 9 alasiri….