WAZIRI KAIRUKI AKUTANA NA RAIS WA APIMONDIA KAMISHENI YA AFRIKA
Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Angellah Kairuki (Mb) amekutana na kufanya mazungumzo na Rais wa Apimondia Kamisheni ya Afrika, Bw. David Mukomana kwa lengo la kujadili maandalizi ya mkutano wa 50 wa Dunia wa Ufugaji Nyuki (APIMONDIA) na kuweka mikakati ya kufanikisha mkutano huo utakaofanyika nchini mwaka 2027. Akizungumza katika kikao hicho, kilichofanyika leo…