Mbowe: Hatutarudi nyuma katika kutetea haki

Dar es Salaam. Kufuatia mfululizo wa matukio ya utekaji na mauaji ya wananchi na viongozi wa chama chake, Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe amesema hawatarudi nyuma katika kutetea haki katika taifa hili. Mbowe amebainisha hayo leo Alhamisi, Septemba 19, 2024 wakati wa mkutano ulioandaliwa na Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD) wenye lengo la kutathmini hali…

Read More

Wanafunzi Tengeru wang’ara mashindano ya ubunifu ya Afrinnovate Youth Challenge

Arusha. Wanafunzi kutoka Chuo cha Maendeleo ya Jamii Tengeru (TICD) kupitia kikundi chao cha Skyverse Solution, wameibuka washindi wa mashindano ya ujasiriamali na ubunifu ya Afrinnovate Youth Challenge baada ya kubuni mashine ya kubangua karanga. Ubunifu huo umetajwa kuwa mkombozi kwa wakulima wadogo wa karanga, ambao kwa muda mrefu wamekuwa wakitumia nguvu na muda mwingi…

Read More

Taoussi aanza mbwembwe | Mwanaspoti

USHINDI mtamu hasa unaposhinda kwa timu kubwa kama Yanga na hii imethibitishwa na kocha wa Azam FC, Rachid Taoussi aliyesema pointi tatu ilizopata timu hiyo mbele ya Yanga ni kielelezo cha mipango imara na nidhamu ya hali ya juu kutoka kwa wachezaji, huku akiweka wazi lengo ni kujiimarisha na kuwa klabu tishio zaidi nchini. Mkwara…

Read More

INEC YAWANOA Ma-OCD KUHUSU SHERIA ZA UCHAGUZI

Na Mwandishi wetu, Kilimanjaro Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) katika kuhakikisha inatoa Elimu ya Mpiga Kura kwa makundi mbalimbali katika jamii, leo Novemba 07, 2024 imetoa elimu hiyo kwa Wakuu wa Polisi wa Wilaya (OCD) nchini katika mafunzo yaliyofanyika katika Shule ya Polisi Moshi, Mkoani Kilimanjaro.   Akizungumza mara baada ya mafunzo hayo…

Read More

MAHUBIRI: Kufufuka Yesu ndio msingi wa imani ya Kikristo

Bwana Yesu asifiwe! Leo tukiwa tunaadhimisha Sikukuu ya Pasaka inayomaanisha kufufuka kwa Bwana Yesu kutoka kaburini, natamani uyafahamu mambo ya msingi kuhusiana na ufufuko huu ili kumwezesha kila mmoja kufaidika na uhalisia wa tukio hili. Ukristo umezaliwa kupitia Bwana wetu Yesu Kristo, ambaye ni mwanzilishi pekee wa imani ambaye alikufa na hakubaki kaburini, maana alifufuka…

Read More

Siku 48 za Dk Slaa mahabusu, asema atarudi Chadema

Dar es Salaam. Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, imemfutia kesi ya jinai na kumwachia huru Mwanasiasa mkongwe, Dk Willibrod Slaa (76), baada ya Mkurugenzi wa Mashtaka nchini Tanzania (DPP) kuieleza Mahakama hiyo hana nia ya kuendelea na mashitaka dhidi yake. Kwa sasa Dk Slaa atakuwa uraiani kuendelea na mishemishe zake za maisha, baada ya kukaa…

Read More