
NMB Bank Yatoa Elimu kwa Wafanyabiashara wa Dodoma Kupitia NMB Business Club
Dodoma Benki ya NMB imeendelea kuimarisha uhusiano wake na wateja wa kibiashara kwa kutoa elimu na ufafanuzi kuhusu huduma na masuluhisho mbalimbali ya kifedha kupitia NMB Business Club iliyoandaliwa jijini Dodoma jana. Akizungumza wakati wa mafunzo hayo, Meneja Mwandamizi wa Idara ya Biashara Makao Makuu ya NMB, Reynold Tony, alisema benki hiyo ina dhamira ya…