UNHCR kulazimishwa kufanya kupunguzwa kwa kina, licha ya kuongezeka kwa mahitaji ulimwenguni – maswala ya ulimwengu

Hii itahusu kukata chini ya nusu ya nafasi zote za juu katika makao makuu ya shirika la Geneva na ofisi ya mkoa. Karibu machapisho ya wafanyikazi wa kudumu 3,500 yamekomeshwa, mamia ya nafasi za wafanyikazi wa muda zimekomeshwa, na ofisi zingine zimepungua au kufungwa ulimwenguni. Kulingana na ripoti hiyo, maamuzi ya wapi kupunguza gharama ziliongozwa…

Read More

Rais Dkt. Samia Azungumza na Wazee wa Mkoa wa Dar es Salaam katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere, Jijini Dar es Salaam

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan azungumza na Wazee wa Mkoa wa Dar es Salaam katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere, Jijini Dar es Salaam Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Wazee wa Mkoa wa Dar es Salaam katika…

Read More

BARRICK YAFANIKISHA KONGAMANO YA WANAFUNZI VYUO VYA ELIMU YA JUU MKOANI MWANZA

KAMPUNI ya Barrick nchini imedhamini kongamano la Vyuo vya elimu ya juu mkoani Mwanza lililoandaliwa na taasisi ya AIESEC Tanzania na kufanyika katika Chuo Kikuu cha Mtakatifu Augustino ambapo wanafunzi walioshiriki walipata fursa ya kujengewa uwezo kuhusiana na masuala ya kujiamini,jinsi ya kujiajiri na kupata ajira sambamba na kutambua fursa zilizopo zinatozotokana na mabadiliko ya…

Read More

DIT YAJIPANGA VYEMA UBORESHAJI WA MITAALA MIPYA

     Makamu Mkuu wa Taasisi ya Taasisi ya Teknolojia Dar es Salaam (DIT) Taalamu, Utafiti na Ushauri wa Kitaalam Prof. Ezekiel Amri ameipongeza timu ya wadau walioshiriki katika warsha ya  kuboresha mitaala mipya katika fani za Uhandisi Umeme na Nishati Jadidifu katika ngazi ya Uzamili na Stashahada. Ameyasema hayo leo tarehe 4/6/2024 kwenye Warsha…

Read More

Metacha aajiri watatu kupandisha kiwango

KIPA wa Singida Black Stars, Metacha Mnata amesema msimu huu ameajiri wataalamu  watatu wa kumchukua video wakati wa mechi ili kupata urahisi wa kujua kitu gani anapaswa kuboresha katika majukumu yake. Kipa huyo wa zamani wa Azam, Mbao na Yanga, alisema sababu ya uamuzi huo ni kutaka kuendana na mabadiliko ya soka kuchezwa kisayansi na…

Read More

WASIRA AMCHONGEA ‘MO DEWJ’ KWA SERIKALI KWA KUTELEKEZA MASHAMBA RUNGWE ,ATOA MAELEKEZO MAZITO

Na Mwandishi Wetu MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara Stephen Wasira ameitaka serikali kupitia Wizara ya Kilimo kuangalia uwezekano wa ardhi inayomilikiwa na mwekezaji Mohammed Enterprises Ltd wilayani Rungwe mkoani Mbeya kama imemshinda na haizalishi irejeshwe serikalini ipangiwe matumizi mengine. Wasira alitoa kauli hiyo baada ya wananchi wa Tukuyu wilayani Rungwe mkoani…

Read More

LUDEWA SIYO PANGO LA WEZI – DC LUDEWA

Na. Damian Kunambi, Njombe. Mkuu wa Wilaya ya Ludewa Victoria Mwanziva amewataka viongozi wa ngazi zote Wilaya humo ikiwemo wakuu wa Idara kuhakikisha wanasimamia vyema fedha za miradi ya maendeo zinazoletwa na serikali katika maeneo yao na kuhakikisha fedha hizo zinaendana na ubora wa miradi hiyo. Mwanziva ametoa maagizo hayo wakati alitoa hotuba katika kikao…

Read More

DK.SAMIA ATOA RAI WANANCHI KUCHANGAMKIA FURSA KIGOMA KUFANYABIASHARA NA NCHI JIRANI

 *Aweka wazi mipango itakayokwenda kutekelezwa na serikali miaka mitano ijayo *Azungumzia mbolea ,pembejeo za ruzuku zilivyoongeza uzalishaji mazao Kigoma Na Said Mwishehe,Michuzi TV-Kigoma MGOMBEA urais kupitia Chama Cha Mapinduzi(CCM)Rais Dk.Samia Suluhu Hassan amesema Serikali imefanya maendeleo makubwa katika Wilaya ya Kasulu mkoani Kigoma ambayo kwa ujumla imefungua fursa kwa wananchi wa mkoa huo. Akizungumza leo…

Read More