Maporomoko ya tope yafunika nyumba 13 Muleba
Muleba. Maporomoko ya matope katika Mlima Kabumbilo Kijiji cha Ilemela wilayani Muleba yamefunika nyumba 13 wananchi wakizuiliwa kufika eneo hilo. Akizungumza na Mwananchi kwa njia ya simu leo Aprili 29, 2024 Mkuu wa Wilaya ya Muleba, Dk Abel Nyamahanga amesema nyumba 13 zifunikwa na matope yaliyoporomoka kutoka Mlima Kabumbilo Mlima huo upo kwenye vitongoji vya…