Mwigulu awataja vijana wabunifu, sekta binafsi kufanikisha malengo Dira 2050
Dar es Salaam. Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba amesema Watanzania wanataka kuiona nchi yao ikifikisha lengo la uchumi wa kati wa Dola za Marekani trilioni moja ifikapo mwaka 2050. Dk Mwigulu amesema watakaofanikisha jambo hilo ni sekta binafsi ikiwemo wenye wabunifu kutoka kwenye kampuni changa. Waziri Mkuu Mwigulu ametoa kauli hiyo leo Jumatano Desemba 3, 2025…