Waogeleaji watumwa medali Angola | Mwanaspoti
BARAZA la Michezo la Taifa (BMT) limewataka waogeleaji wa timu ya Taifa kuhakikisha wanafanya vema kwenye mashindano ya kuogelea ya Afrika (Africa Aquatics Swimming Championship) yatakayoanza kesho Aprili 30 hadi Mei 2 mwaka huu nchini Angola. Mashindano hayo yana lengo la kuwania kufuzu michuano ya Olimpiki itakayofanyika Julai 26 hadi Agosti 11 nchini Ufaransa na…