Mastaa Simba watambia usajili | Mwanaspoti

WAKATI Simba ikirejea nchini alfajiri ya leo ikitokea Misri, mastaa wa timu hiyo wameringia usajili wa kikosi hicho kwa msimu msimu mpya wakisisitiza wamepania kufanya mabadiliko. Simba iliweka kambi jiji la Ismailia kabla ya kuhamia Cairo, Misri ikitumia siku 31 kujifua tayari kwa msimu wa 2025/26 ambao utaanza rasmi Septemba 16 kwa kupigwa mechi ya…

Read More

Dilunga atoboa siri JKT | Mwanaspoti

KIUNGO mkongwe wa Simba na Yanga, Hassan Dilunga ameweka siri inayomfanya kusalia ndani ya kikosi cha JKT Tanzania kwa muda mrefu, huku akimtaja kocha Hamad Ally. Mkongwe huyo huu ni msimu wa tatu ndani ya JKT, tangu alipoagana na Simba aliyoitumikia kwa miaka mitatu mfululizo baada ya kutoka Yanga. Dilunga alisema, licha ya kwamba anapokea…

Read More

Upelelezi kesi waliokuwa vigogo TPA wakamilika, kusomewa maelezo yao Oktoba 15

Dar es Salaam. Serikali imepanga Oktoba 15, 2024 kuwasomea maelezo ya mashahidi na vielelezo (Commital Proceedings), aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA), Madeni Kipande (66) na wenzake. Hatua hiyo inatokana na upelelezi wa kesi hiyo ya uhujumu uchumi namba 38/2022 kukamilika. Maelezo hayo ya mashahidi na vielelezo, yanatarajia kusomwa katika Mahakama ya…

Read More

Hersi: Bado ahadi moja Yanga

RAIS wa Yanga, Hersi Said amesema anadaiwa ahadi moja kati ya tano walizoahidi walipopewa ridhaa ya kuongoza klabu hiyo. Akizungumza na mashabiki wa Yanga makao makuu ya klabu hiyo, amesema waliahidi kuwa na mabadiliko ya uendeshaji wa klabu ambayo amethibitisha kuwa hivi karibuni wanachama watajua thamani ya klabu hiyo. Pia ametaja ahadi ya pili kuwa…

Read More

Kocha Matola kutoa ushahidi kesi ya Muharami, wenzake

Dar es Saalam. Mashahidi 30 akiwemo, Kocha Seleman Matola (45) wanatarajiwa kutoa ushahidi katika kesi ya kusafirisha dawa za kulevya aina ya heroini zenye uzito kilo 34.89 inayomkabili mmiliki wa kituo cha Cambiasso Sport Academy, Kambi Seif na wenzake watano. Hayo yamebainishwa na Jamhuri baada ya kuwasomea washtakiwa hao orodha ya mashahidi na vielelezo, na…

Read More