Hali ilivyo kanisani kwa Askofu Gwajima baada ya kutolewa kifungoni
Dar es Salaam. Waumini wa Kanisa la Ufufuo na Uzima la Askofu Josephat Gwajima wameendelea kumiminika kanisani hapo wakisubiri kukabidhwa ikiwa imepita saa kadhaa tangu Serikali ilipotangaza lifunguliwe jana Novemba 24, 2025. Leo Novemba 25, Mwananchi ilifika kanisani hapo na kukuta baadhi ya waumini wakiwa kwenye uwanja wa kanisa wakisubiri maelekezo ya viongozi wao ili…