Beki Stellenbosch auogopa mziki wa Mpanzu
MECHI ya marudiano ya nusu fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika kati ya Stellenbosch dhidi ya Simba itakayopigwa Aprili 27, 2025 kwenye Uwanja wa Moses Mabhida, Durban nchini Afrika Kusini, imeendelea kugusa hisia za mashabiki huku kukiwa na presha kubwa kambini kwa Stellenbosch. Katika mchezo wa kwanza uliofanyika Uwanja wa New Amaan Complex uliopo Unguja,…