NCBA yazidi kuwekeza dijitali ikirahisisha upatikanaji wa huduma za kifedha
Dar es Salaam. Kutokana na mabadiliko ya kidijitali yanayoendelea katika sekta mbalimbali, Benki ya NCBA Tanzania imezindua programu mpya ya kibenki iitwayo ‘NCBA Now’ kwa ajili ya kurahisisha upatikanaji wa huduma za kibenki. Hatua hiyo ni mwendelezo wa mafanikio ya kibiashara ya benki kwa mwaka wa fedha uliomalizika Desemba 31, 2023. Katika kipindi hicho NCBA…