Majeraha ya Yacoub yamtibulia Camara Simba

KOCHA mkuu wa Simba, Steve Barker alitarajiwa kutua nchini jana, lakini huku nyuma kukiwa na taarifa ya kushtukiza kutokana na kuumia kwa kipa Yakoub Suleiman ambaye inadaiwa huenda akamponza kipa namba moja wa timu hiyo aliye majeruhi kwa muda mrefu, Moussa Camara. Yakoub aliumia wiki iliyopita akiwa katika mazoezi ya timu ya taifa ya Tanzania…

Read More

AYE kupeleka vijana Marekani kupitia ufadhili wa masomo

KATIKA hatua ya kuibua na kukuza vipaji vya vijana wa Kitanzania, taasisi ya African Youth Empowerment (AYE) imetangaza kuanza rasmi mpango wa kutoa ufadhili wa masomo (scholarship) kwa vijana wenye vipaji maalum kwa ajili ya kusoma na kuendeleza ndoto zao nchini Marekani. Akizungumza na Mwanaspoti, Mkurugenzi Mtendaji wa AYE, Muyimba Gerald amesema kuwa mpango huo…

Read More

Hii ndio sababu ya Mahujaji kukusanyika Arafa

Dar es Salaam. Ibada ya Hijja imeanza na leo Mahujaji kutwa nzima wanakusanyika  katika viwanja vya Arafa nje kidogo ya Mji Mtukufu wa Makka nchini Saudi Arabia. Ni viwanja ambavyo miaka zaidi ya miaka 1,400 iliyopita, kiongozi wa Waislamu, Mtume Muhammad (Rehma na amani zimshukie) alitoa kile kiitwacho Hotuba ya Kuaga, iliyokuwa ya mwisho kwake…

Read More

Mwokozi wa Gereza la Syria ambaye anatafuta haki kwa wale ambao bado wanakosa – maswala ya ulimwengu

Leo, na msaada wa UN, mmoja wa wafungwa hao wa zamani, mlinzi wa haki za binadamu wa Syria Riyad Avlar, anafanya kazi ili kujua nini kilitokea kwa wale ambao hawakufanya hivyo – na kutafuta haki kwa waliopotea. Anakumbuka majibu ya mama mmoja alipomwambia kwamba mtoto wake amekufa akiwa kizuizini: “Ninakubali hii, lakini sijapoteza tumaini. Siku…

Read More

KambiTiba ya Madaktari wa Tanzania Comoro yaanza kwa kishindo

KambiTiba ya Madaktari Bingwa toka Tanzania nchini Comoro imeanza kwa muitikio mkubwa wa wananchi wa nchini humo ambapo mamia wamejitokeza kupata huduma mbali mbali zinazotolewa kwa ushirikiano na madakatari wazawa katika Kisiwa cha Ngazidja. Madaktari hao wa Tanzani wametoa huduma za uchunguzi na matibabu katika matatizo ya mifupa,figo na vibofu vya mkojo,mifupa,saratani,moyo na mengineyo ambapo…

Read More

Yanga yabadilishiwa uwanja CAF | Mwanaspoti

YANGA inaendelea kujifua tayari kwa mchezo wa Ngao ya Jamii dhidi ya watani wao Simba, utakaopigwa Septemba 16 na habari njema kwa mashabiki wa timu hiyo kimataifa ni namna ambavyo wamerahisishiwa kazi na Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) kuikabili Wiliete Benguela ya Angola. Mabingwa watetezi wa Ligi Kuu wanatarajia kuanzia ugenini kwenye mchezo…

Read More

Rais Samia afanya uteuzi, yumo Balozi Sirro

Dar es Salaam. Rais Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa viongozi mbalimbali akimteua IGP mstaafu Balozi Simon Sirro kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Shirika la Madini la Taifa (Stamico). Balozi Sirro anachukua nafasi ya Meja Jenerali mstaafu, Michael Isamuhyo ambaye amemaliza muda wake. Taarifa iliyotolewa leo Aprili 5, 2025 na Katibu Mkuu Kiongozi Dk Moses…

Read More