TAS yataka juhudi za pamoja kukabili unyanyapaa, ukatili

Dar es Salaam. Tukio la kujeruhiwa mtoto mwenye ualbino mkoani Geita limekiibua Chama cha Watu wenye Ualbino Tanzania (TAS), kikiikumbusha Serikali na mamlaka husika kuhusu uhitaji wa juhudi za pamoja za kukabiliana na unyanyapaa na ukatili. TAS imesema juhudi hizo ni pamoja na Wizara ya Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu -Kazi, Vijana, Ajira na Wenye…

Read More

Waliokumbwa maporomoko ya tope Mlima Kawetere watoka kambini

Mbeya. Wakati Serikali ikiendelea kuratibu makazi ya waathiriwa wa maporomoko ya tope linalotoka Mlima Kawetere jijini hapa, waathiriwa hao wameondoka kwenye kambi ya muda katika Shule ya Msingi Tambukareli walikokuwa wamewekwa. Maporomoko hayo yaliyotokea alfajiri ya Aprili 14 mwaka huu katika Kata ya Itezi jijini Mbeya na kusababisha nyumba zaidi ya 20 na Shule ya…

Read More

Wydad yamganda Lakred, ishu nzima ipo hivi

TIMU ya Wydad Casablanca imeonyesha nia ya kumsajili kipa wa Simba, Ayoub Lakred kwa ajili ya msimu ujao. Taarifa kutoka ndani ya timu hiyo zimeliambia Mwanaspoti kwamba nyota huyo raia wa Morocco anataka kuondoka msimu ukiisha baada ya mkataba wake wa mwaka mmoja kumalizika jambo linalowatia wasiwasi mabosi wa Simba wanaomtaka abaki. Lakred aliyejiunga na…

Read More

Kenya yakabiliwa na kiunzi kipya cha kutuma polisi Haiti – DW – 17.05.2024

Chama cha kisiasa cha Muungano wa Thirdway Alliance Kenya na wanachama wake wawili waliwasilisha malalamishi hayo siku ya Alhamisi (16.05.2024) , wakisema kwamba serikali imepuuza amri ya mahakama iliyotolewa mwezi Januari. Mahakama ilisema hatua ya kupelekwa polisi wa Kenya nchini Haiti inakiuka katiba na ni kinyume cha sheria. Waliowasilisha hoja hiyo mahakamani hapo Alhamisi, wamesema…

Read More

Simba, Fountain kama kawa Bara

KAMA ulikuwa una presha ya kwenda kwenye Uwanja wa KMC Complex, kucheki gemu ya Simba na Fountain Gate baada ya awali kuwepo kwa hatihati ya kupigwa, we jipange tu, kwani mchezo huo utapigwa kama kawaida keshokutwa Jumapili. Awali kulikuwa na presha kwamba huenda mchezo huo usingechezwa kama iklivyotokea ule wa Namungo dhidi ya Fountain Gate…

Read More

Ishu ya Freddy, Simba ipo hivi

UONGOZI wa Simba uko katika hatua za mwisho za kuachana na mshambuliaji, Freddy Michael baada ya kuitumikia kwa miezi sita akitokea Green Eagles ya Zambia. Hatua ya Simba kuachana na nyota huyo inakuja baada ya kukamilisha dili la mshambuliaji Mcameroon, Leonel Ateba aliyetua huu akitokea USM Alger ya Algeria. Akizungumza na Mwanaspoti, Ofisa Habari na…

Read More

Camara, Djigui wakomaliwa | Mwanaspoti

KIPA Patrick Munthary wa Mashujaa, ameweka wazi kuongeza ushindani wa kupambana kubaki ndani ya nafasi ya tatu kwa makipa wanaoongoza kwa kutoruhusu mabao kwenye Ligi Kuu (Clean Sheet). Munthary ana clean sheet 12 hadi sasa, ikiwa moja pungufu na alizonazo Diarra wa Yanga, mwenye 13 anayemfukuzia Moussa Camara wa Simba anayeongoza akiwa na 15. Akizungumza…

Read More

TANESCO MMEFANYA MAGEUZI MAKUBWA KATIKA HUDUMA YA UMEME KWA WANANCHI – MHE. NDEJEMBI

  Waziri wa Nishati, Mhe. Deogratius Ndejembi, amesema kuwa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limeendelea kufanya mageuzi makubwa katika kuboresha upatikanaji wa  huduma ya umeme nchini hatua ambayo imeongeza imani na fursa mbalimbali za kiuchumi kwa wananchi. Mhe. Ndejembi ameyasema hayo Novemba 22, 2025, mkoani Dodoma katika kikao chake na viongozi wa TANESCO chenye lengo…

Read More

Gusa achia ilivyoibeba Yanga kwa TP Mazembe

WALE waliokuwa wakiiponda Yanga ya Sead Ramovic kwamba haina kitu, kwa sasa huenda wanatafuta mahali pa kuficha sura zao, kwa namna Gusa Achia Twende Kwao ilivyoanza kulipa kwa kikosi hicho kuzitaabisha timu pinzani, kama ilivyofanya juzi kwa TP Mazembe kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa. Ni kweli Yanga ilianza kichovu mechi za Ligi ya Mabingwa Afrika…

Read More