NCAA kutetea nafasi yake tuzo ya kivutio bora cha utalii Afrika
Arusha. Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro (NCAA), imezindua kampeni yake ya kuipigia kura mamlaka hiyo kutetea nafasi yake ya kuwa kivutio bora cha utalii barani Afrika, kwa mwaka 2024 zinazotolewa na mtandao wa World Travel Awards. Oktoba 15, 2023, Ngorongoro ilinyakua tuzo hiyo baada ya kushinda vivutio vingine vya utalii barani Afrika ikiwemo Table Mountain,…