Kocha Mkenya akabidhiwa MIKOBA Tabora United

TABORA United msimu ujao itakuwa chini ya Kocha Mkenya, Francis Kimanzi ambaye muda wowote atatambulishwa. Kocha huyo wa zamani wa Tusker ya Kenya na timu ya Taifa hilo tayari amefikia makubaliano ya awali na Tabora United na kilichobaki ni kutua Tanzania kusaini mkataba wa mwaka mmoja waliokubaliana. Kimanzi mwenye leseni ya UEFA daraja A anakuja…

Read More

BALOZI DKT. NCHIMBI AZUNGUMZA NA WANANCHI WA NAMTUMBO

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi akizungumza na umati mkubwa wa wananchi Namtumbo, kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika katika Uwanja wa Shule ya Msingi Namtumbo, leo Alhamis tarehe 3 Aprili 2025. Katika mkutano huo, viongozi wa vyama vya ACT Wazalendo na Chadema, wakiwaongoza wanachama wao, waliamua kurejesha kadi na…

Read More

Polisi mwendo mdundo | Mwanaspoti

NYOTA wa timu ya kikapu  ya Polisi, Lawi Mwambasi amesema ushindi walioupata dhidi ya Yellow Jacket wa pointi 81-70 katika Ligi Daraja la Kwanza Mkoa wa Dar es Salaam, ulitokana na kujituma muda wote wa mchezo.  Mchezo huo uliokuwa mzuri na wa kusisimua ulifanyika kwenye Uwanja wa Bandari, Kurasini na Mwambasi aliiambia Mwanaspoti, licha ya…

Read More

TUCTA yaipongeza Serikali kuhusu Kikokotoo, yashauri maboresho yafanyike pia kwa Sekta Binafsi

  Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi Tanzania (TUCTA) limeipongeza Serikali kwa kuongeza kiwango cha malipo ya mkupuo ya Pensheni kwa Wastaafu kutoka asilimia 33 ya sasa mpaka 40 kwa wafanyakazi waliokuwa walipwa asilimia 50 kabla ya mifuko kuunganishwa na asilimia 35 kwa watumishi ambao walikua wakipokea asilimia 25 kabla mifuko hiyo kuunganishwa Pongezi hizo zimetolewa…

Read More

Tuzo za TFF 2024 zawagawa wadau

SIKU chache tangu Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) litangaze tuzo za soka kwa msimu wa 2023-2024 zitatolewa wakati ya Ngao ya Jamii ya uzinduzi wa msimu wa 2024-2025, wadau wameibuka wakionekana kuwaganyika juu ya uamuzi huo. Taarifa ya TFF kuhusu tuzo hizo kusogezwa mbele ilieleza sababu kubwa ni kuziboresha zaidi tofauti na misimu iliyopita japo…

Read More

MAMBO 20 NILIYOYAONA KWA DK.SAMIA TUKIJIANDAA KWENDA KUTIKI OKTOBA 29

Na Said Mwishehe, Michuzi TV 01:KAMPENI zinaendelea kushika kazi na mgombea kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi(CCM) Rais Dk.Samia Suluhu Hassan anaendelea kuchanja mbuga,ameshakwenda mikoa karibia 16 mpaka sasa. 02:Tayari ameshapita katika mikoa ya Dar es Salaam ,Morogoro, Dodoma,Songwe,Mbeya,Njombe,Iringa, Singida,Tabora,Kigoma,Zanzibar,Ruvuma,Lindi,Mtwara,Pwani ,Tanga na leo Kilimanjaro. 03:Kote ambako mgombea Urais amefanya mikutano mikubwa na midogo,amefanya mikutano ya…

Read More

Waziri Kikwete atua Geneva kushiriki Mkutano wa 113 ILO

Ataeleza utekelezaji wa nchi kuhusu viwango vya kimataifa vya kazi na Ajira  Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Ridhiwani Kikwete amewasili Jijini Geneva Uswisi kushiriki Mkutano wa 113 wa Shirika la Kazi Duniani (ILO) . Katika Mkutano huo, Mhe. Ridhiwani ataeleza utekelezaji wa nchi kuhusu Viwango…

Read More