Waisraeli 11 wauawa katika shambulio Australia
Sydney, Australia. Watu 11 wamefariki dunia na wengine kadhaa kujeruhiwa baada ya shambulio la risasi lililotokea leo Jumapili Desemba 14, 2025, katika ufukwe wa Bondi, mashariki mwa Jiji la Sydney nchini Australia. Taarifa ya polisi wa Jimbo la New South Wales zinaeleza kuwa tukio hilo limetokea wakati watu walipokuwa wamekusanyika kusherehekea sikukuu ya Hanukkah (Chanukah),…