Kanisa Anglikana lawanoa walimu wa Sunday School

Kibaha. Kanisa Anglikana Dayosisi ya Dar es Salaam limeanza rasmi mafunzo kwa walimu wa Shule ya Jumapili (Sunday School) katika Wilaya ya Kibaha mkoani Pwani, yakilenga kuwaongezea uwezo wa ufundishaji wa masomo ya dini kwa kutumia mbinu za kisasa na zenye weledi zaidi. Mafunzo hayo, yaliyofanyika leo Novemba 15, 2025 katika Achidikonari ya Kibaha, yanatolewa…

Read More

Wasiorejesha mikopo elimu ya juu kubanwa kila kona

Dar es Salaam. Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu (HESLB) imeunganisha mifumo ya himkakati kwa ajili ya kuwafikia wanufaika wenye kipato lakini hawajaanza kurejesha mikopo ya elimu. Katika hilo HESLB imeingia makubaliano ya ushirikiano na Wakala wa Usajili, Ufilisi na Udhamini (Rita), Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (Nida) na Taasisi ya Kuchakata Taarifa za…

Read More

Hatari iliyopo balehe za mapema, kuchelewa kukoma hedhi

Dar es Salaam. Wataalamu bingwa wa magonjwa ya saratani nchini, wamesema wasichana wanaobalehe mapema (kabla ya miaka 12) wapo hatarini kupata saratani ya matiti, huku wakishauri hatua za kuchukua. Vilevile, wameeleza na kuonya kuhusu tiba za urembo unaosaidia mwonekano mzuri wa ngozi au ujana kuwa huchochea saratani ya matiti. Wameeleza hayo leo Ijumaa, Oktoba 17,…

Read More