ZAIDI YA SH. BILIONI 11 KUSAMBAZA UMEME VITONGOJI 90 SHINYANGA

Msimamizi wa Miradi ya REA Kanda ya Magharibi, Mhandisi Robert Dulle Na Mwandishi wetu – Shinyanga Serikali kupitia Wakala wa Nishati Vijijini (REA) inatekeleza mradi wa Shilingi Bilioni 11.18 wa kusambaza umeme katika vitongoji 90 utakaonufaisha Kaya 2,970 Mkoani Shinyanga. Msimamizi wa Miradi ya REA Kanda ya Magharibi, Mhandisi Robert Dulle amebainisha hayo Novemba 05,…

Read More

MBOWE AFUNGUA MKUTANO MKUU CHADEMA, AKEMEA MATUSI

MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) FREEMAN Mbowe amewasihi viongozi watakaoshika nyazifa mbalimbali katika Chama hicho ni lazima wakijenge chama katika misingi ya maadili na Nidhamu. Ameyasema hayo leo Januari 21, 2025 wakati anafungua Mkutano Mkuu wa chama hicho unapendelea Mlimani City jijini Dar es Salaam. “Mtakaopewa mikoba ya chama hiki ni lazima…

Read More

RITA yazifilisi rasmi Sasatel, kampuni ya Hydrox

WAKALA wa Usajili Ufilisi na Udhamini (RITA) imetangaza kuzifilisi Kampuni za DOVETEL (T)LIMITED maarufu kama Sasatel na Kampuni Hydrox Industrial Serivices Limited baada ya kujiridhisha kuwa kampuni hizo mbili zimeshindwa kujiendesha na kulipa madeni waliyonayo. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea). Akizungumza na waandishi wa habari Jijini Dar es Salaam jana Jumapili kutoa…

Read More

‘Dhoruba kamili’ ya misiba ya ulimwengu iliendesha miaka ya bei ya chakula: FAO – Maswala ya Ulimwenguni

Ripoti hiyo, kutolewa baadaye mwezi huu, inaonyesha jinsi kati ya 2020 na 2024, ulimwengu ulipata ongezeko kubwa la bei ya chakula inayoendeshwa na mchanganyiko wa COVID 19 Mfumuko wa bei, vita nchini Ukraine kuzuia harakati juu ya chakula na bidhaa, na kuongeza mshtuko wa hali ya hewa. “Vipindi vilivyoelezewa katika chapisho hili huleta kile tunachokiita…

Read More

Rostam Aziz: Mchakato mpya wa CCM ni wa haki zaidi

Dar es Salaam. Kada nguli wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na mfanyabiashara maarufu, Rostam Aziz amepongeza mchakato mpya wa chama hicho katika kupitisha wagombea wa ubunge akisema unatoa nafasi ya haki na uwazi kwa watiania. Akizungumza leo, Jumapili Agosti 3, 2025 jijini Dar es Salaam katika mahojiano maalumu, Rostam amesema amewahi kupitia michakato mingi ya…

Read More