OSHA yatoa mafunzo kwa wajasiriamali 250 Arusha
Na Mwandishi Wetu, MtanzanianDigital Kuelekea kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Usalama na Afya Mahali pa Kazi kitakachofanyika Aprili 28 OSHA imeendelea na kampeni ya uhamasishaji wa uwepo wa mazingira salama katika maeneo ya kazi ambapo takribani wajasiriamali 250 wamepatiwa mafunzo ya usalama na afya mahali pa kazi mkkoani Arusha. Mafunzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi…