Mkurugenzi Mkuu TCAA afungua Rasmi Kozi ya Pili ya Cheti kwa Wakufunzi wa Usalama wa Anga (AVSEC) Katika Chuo cha CATC, Dar es Salaam

Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA), Salim Msangi amefungua rasmi kozi ya pili ya cheti kwa Wakufunzi wa Usalama wa Anga (AVSEC Instructors Certification Phase Two Course) katika Chuo cha Usafiri wa Anga Tanzania (CATC), kilichopo jijini Dar es Salaam. Kozi hiyo imewakutanisha washiriki 20 kutoka nchi 13 mbalimbali zikiwemo Tanzania,…

Read More

TLS YAHOJI UTEKELEZAJI WA SHERIA ZA UHIFADHI NA MATUMIZI YA ARDHI NCHINI – MWANAHARAKATI MZALENDO

Rais wa Chama cha Wanasheria wa Tanganyika (TLS), Boniface Mwabukusi, ametoa maoni makali kuhusu jinsi ardhi inavyotumika nchini Tanzania, akidai kuwa kuna udhaifu mkubwa katika utekelezaji wa sheria za uhifadhi na matumizi ya ardhi. Akizungumza usiku wa Jumamosi kupitia mtandao wa Clubhouse kwenye jukwaa la Sauti ya Watanzania, Mwabukusi alikosoa sera za kuhamisha jamii ya…

Read More

Msuva: Tunaitaka nafasi ya Kombe la Dunia

Mshambuliaji wa Taifa Stars, Saimon Msuva amesema wachezaji wapo tayari kwa ajili ya kupambana ili kupata matokeo yatakayowaweka kwenye nafasi nzuri kufuzu kushiriki Kombe la Dunia. Stars wataanza ugenini dhidi ya Zambia mchezo unaotarajiwa kuchezwa Juni 11 mwaka huu na wanaendelea kujiweka fiti tayari kwa mchezo huo. Akizungumzia muda mchache kabla ya kuanza mazoezi alisema…

Read More

TUHAKIKISHE VIJANA WANAPATA MAFUNZO YA UFUNDI STADI-MAJALIWA

WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa, ametoa wito kwa wazazi na walezi kote nchini kuhakikisha wanawapeleka vijana wao kupata mafunzo ya ufundi stadi yanayoratibiwa na Chuo cha Ufundi Stadi (VETA) pamoja na Ofisi ya Waziri Mkuu ili kuwawezesha kupata ujuzi utakaowasaidia kujiajiri na kuchangia maendeleo ya Taifa. Akizungumza mara baada ya kukagua karakana za kujifunzia zilizopo katika…

Read More

Guterres inakaribisha uchaguzi wa Papa Leo ‘wakati wa changamoto kubwa za ulimwengu’ – maswala ya ulimwengu

Utakatifu wake Papa Leo XIV – mzaliwa wa Robert Francis Prevost – ndiye mtu wa kwanza kutoka Merika kuongoza Kanisa Katoliki, ingawa pia anashikilia uraia wa Peru baada ya kufanya kazi katika nchi ya Amerika ya Kusini kwa miaka mingi. Alichaguliwa na Makardinali wakipiga kura huko Vatikani huko Roma, na baadaye akasalimia maelfu walikusanyika katika…

Read More

DEREVA WA TPA NA WENZAKE KIZIMBANI KWA UTAKATISHAJI WA BILIONI 20 NA KUSABABISHA HASARA YA BILIONI 26 KWA TIPER

Karama Kenyunko Michuzi Tv  DEREVA wa Mamlaka ya Bandari Tanzania, TPA Tino Ndekela na wenzake saba, wamefikishwa katika mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakilabiliwa na jumla ya  mashtaka 20 ikiwemo utakatishaji wa zaidi ya Sh. Bilioni 20 na kuisababishia Kampuni ya Kimataifa ya Kuhifadhi Mafuta (TIPER) Tanzania hasara ya Sh. Milioni 26. Katika kesi hiyo,…

Read More