Vijana 500 kufundishwa uvuvi, kilimo katika Tamasha la Kizimkazi

Unguja. Vijana 500 wanatarajiwa kupatiwa mafunzo kupitia tamasha la Kizimkazi, litakalofanyika Kizimkazi Mkoa wa Kusini Unguja. Tamasha hilo la Kizimkazi linatarajiwa kuanza Agosti 18, 2024 na litaambatana na shughuli mbalimbali ikiwemo ufunguzi wa miradi, maonyesho ya vyakula vya asili na michezo. Akitoa taarifa hiyo leo Julai 28, 2024, Mwenyekiti wa tamasha hilo, Mahfudh Said Omar…

Read More

Mauaji ya Waalawi nchini Syria, kunyongwa nchini Iran, watetezi wa haki za binadamu katika Jamhuri ya Afrika ya Kati – Masuala ya Ulimwenguni

Akizungumza mjini Geneva, OHCHR msemaji Liz Throssell alisema kuwa Ofisi inafahamu kuhusu ripoti na video zinazodaiwa kuonyesha mauaji ya wanaume wa Alawite huko Homs na miji mingine ya Syria tangu kupinduliwa kwa utawala wa Assad, ambao ulikuwa na uhusiano wa miongo mingi na Alawism – tawi la Uislamu wa Shia: “Tunafahamu taarifa hizo na ni…

Read More

Mawakili wa Serikali waonywa mitego ya rushwa

Arusha. Waziri wa Katiba na Sheria, Dk Damas Ndumbaro, amewataka mawakili wa Serikali kuzingatia maadili ya kazi zao na kuepuka rushwa, akisisitiza kuwa rushwa haina siri na hatimaye hufichuliwa. Pia, amewahimiza kutambua changamoto na ugumu wa kazi zao, kwa kuwa ni jukumu la kuleta haki katika jamii. Amesisitiza wazingatie kutenda haki ili kuimarisha usawa na…

Read More

Umri kikomo mikopo ya vijana waongezeka

Dodoma. Serikali imeweka msimamo kuwa mikopo ya asilimia 10 katika kundi la vijana itatolewa kwa watu wenye umri wa mwisho wa miaka 45 pekee. Hata hivyo, umri huo ni nyongeza ya miaka 10 kutoka kikomo cha awali cha miaka 35, lakini kundi la wanawake halikuwa na ukomo. Kauli hiyo imetolewa bungeni leo, Ijumaa Aprili 11,…

Read More