BODI YA TANAPA YATEMBELEA OFISI YA MKEMIA MKUU WA SERIKALI
Bodi ya wadhamini ya Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA) Novemba 21, 2025 imefanya ziara Mamlaka ya Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali jijini Dodoma kwa lengo la kujifunza namna Mamlaka hiyo inavyofanya kazi kama wadau muhimu katika masuala ya uchunguzi wa kisayansi kwa wanyamapori. Wajumbe wa Bodi hiyo walipokelewa na Mkemia Mkuu wa…