Mbunge CCM ahoji matumizi ya nguvu kusaka watumiaji wa mkaa, Serikali yamjibu.
Dodoma. Mbunge wa Kibamba (CCM), Issa Mtemvu amesema ingawa Mkakati wa Taifa wa Matumizi ya Nishati Safi ya Kupikia ni wa miaka 10, lakini sasa kumekuwa na utumiaji wa nguvu za kutafuta Mtanzania mmoja mmoja anayetumia mkaa katika makazi yao. Akiuliza swali bungeni leo Alhamisi Septemba 5, 2024, Mtemvu amesema mkakati huo ni wa miaka…