OFISI YA MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI YAWAPIGA MSASA MAWAKILI WA SERIKALI

Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali iliratibu na kuendeshamafunzo kwa Mawakiliwa Serikali.Mafunzo hayo yalilenga kuwajengea uwezo Mawakili kwenyemasuala mbalimbali yanayohusu sheria ikiwemo Uandishi washeria, mambo muhimu ya kuzingatia kwenye Mikataba naMakubaliano baina ya Nchi au Taasisi, pamoja na mambo yakuzingatia katika kuishauri Serikali kwenye nyanja ya Sheria. Mafunzo hayo yalifanyika Jijini Dodoma hivi karibuni nakuhudhuriwa…

Read More

WASHINDI WA PIKU WAJISHINDIA ZAWADI NONO

Na Mwandishi Wetu WASHINDI wawili wa promosheni ya Piku Afrika, jukwaa la kidijitali linaloendesha minada ya kipekee mtandaoni, wameeleza furaha yao baada ya kujinyakulia zawadi mbalimbali zenye thamani kubwa kupitia mfumo huo wa mnada wa kidijitali. Joyce Brown (27), mfanyakazi katika kampuni binafsi, amejishindia simu aina ya Samsung Galaxy A06.  Akizungumza baada ya kutangazwa mshindi,…

Read More

Alassane Diao arejea Azam na bao baada ya miezi tisa

MSHAMBULIAJI wa Azam FC, Alassane Diao, amerejea kwenye kikosi hicho kwa kufunga bao baada ya kukosekana uwanjani kwa takribani miezi tisa. Diao raia wa Senegal, tangu Machi 2024 alipofanyiwa upasuaji wa goti kufuatia majeraha yake ya Anterior Cruciate Ligament (ACL), hakuonekana uwanjani mpaka leo Desemba 17, 2024 alipoingia dakika ya 81 kuchukua nafasi ya Jibril…

Read More

Marekani kuongeza nguvu mapambano ya saratani nchini

Dar es Salaam. Wizara ya Afya Tanzania na Taasisi ya Biden Cancer Moonshot ya nchini Marekani, wamekaa kikao cha pamoja kutathmini maeneo muhimu ya kushirikiana kupambana na  saratani nchini. Tanzania na Marekani wamekubaliana kukabiliana na uhaba wa wataalamu, ukosefu wa miundombinu wezeshi, vifaa tiba hasa vya kutoa huduma za mionzi, takwimu, tafiti na ubunifu ili…

Read More

Mama afunguka kifo cha mwanaye aliyedaiwa kubakwa na mumewe

Dodoma. Mama wa mtoto aliyedaiwa kulawitiwa na baba yake mzazi hadi kufariki dunia, Stella Gidion amesimulia namna alivyohangaika kumtafuta mwanaye baada ya kuondoka na mumewe. Akizungumza na Mwananchi Septemba 3, 2024 nyumbani kwake Mbuyuni, Kata ya Kizota, amesema Jumapili Septemba mosi, baba wa mtoto Stephen Damas (38) aliondoka nyumbani na mtoto akiamini amekwenda dukani. “Nilikaa…

Read More